PHOTO | FILEPHOTO | FILE
By EVELYNE MUSAMBI

Parents can get very sarcastic, especially when they want to delegate chores at home.

Kenyan parents and especially mothers have been tipped to be the most sarcastic.

From telling their kids that they should play the whole day and their mother would come home to clean up, to comments about exposing themselves to cold.

The sarcastic phrases used by mothers have been re-shared online just for laughs and today we will list them;

“Mkimaliza kukula msioshe viombo. Mimi na baba yenu tutakuja kuosha.”

“😂😂😂😂 hizo nguo zako za shule usianue utanivaa kesho , sawa?”

“Mum aki naskiaa njaa😎 osha mikono unikule😂😂😂”

“Mum unajua tulishinda njaa siku yote, Her:poleni watoto wangu juu nilienda na stove na nikabeba midomo yenu.”

“Mwaga tu mboga iiishe kwa sahani si mama yenu ako na shamba kubwa ya sukuma wiki.”

“Koseni kupeleka ng’ombe kwa malisho coz saa ya lunch mtaipea githeri.”

“Na msipike supper nimebeba sufuria zote kazini.”

“Vunja tu vikombe zote. Chukua ata zile ziko kwa kabati pia uvunje.”

“Muniwachiye milango yote na gate wazi wezi wakuje kuiba, na nikirudi nipate nyinyi pia mumeibiwa.”

“Poteza hiyo kalamu nitanunua ingine😂”

“Unajua wewe ni ka mum kangu? Usifanye homework lala tu, nitakupeleka shule nionge na teacher asikuchape, sawa mum?”

“Nimeenda…chukua microphone itana kabisa uite crusade wakuje mchafue nyumba nitakuja kuosha tena.”

“Lambeni tu sukari…baba yenyu ndiye director wa mumias sugar😂😂😂.”

“Msipoosha izo viombo kila mtu atandike nguo yake nimweke hapo food.”

“Msikusanye kuni nitakuja tupike na miguu yangu.”

“Msisome mkienda shule…nyumba zote za Nairobi ni za baba yenu…atawagawia.”